2010-03-12

TEN DAYS OF MY BABY BOY ALVIN


mwanangu Alvin akiwa ametimiza siku 10
picha ya pamoja na wanaesc wenzangu waliokuja
nyumbani kumwona alvin .


nikiwa na classmates na mama alvin


Hadija, jimbo, ndele, gilbert, mama alvin na frank
wakiwa home

Hadja, Jimbo, na ndele wakifurahia jambo
siku walipo kujaku msalimia Alvin nyumbani




mama Alvin and my classmates frank, gilbert, and ndele
wakifurahi jambo.

my first baby Alvin

Paul na Anna aliyembeba alvin wakifurahia jambo
Alvin akiwa amelala